Wanyiha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wanyiha ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Mbozi. Pia wako Zambia. Lugha yao ni Kinyiha.

Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo Wasafwa, Wandali, Wanyakyusa, Wabungu na Wanyamwanga.

Wanyiha walio wengi ni wakulima: zao kuu la chakula ni mahindi wakati zao kubwa la biashara ni kahawa.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wanyiha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.