Wamaviha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wamaviha ni kabila la watu wanaoishi mpakani kati ya Tanzania na Msumbiji.

Lugha yao ni kati ya lugha za Kibantu na inaitwa Kimaviha. Hata hivyo wengi wao wanaongea pia lugha nyingine kama vile Kiswahili, Kimakua, halafu Kiingereza au Kireno.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamaviha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.