Nenda kwa yaliyomo

Kimakua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimakua ni (kwa Kiswahili) jina la lugha za Kibantu mbalimbali zinazofanana sana. Lugha inayozungumzwa pia nchini Tanzania ni Kimakhuwa-Meetto. Lugha zote nyingine huzungumzwa nchini Msumbiji tu:

Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.