Nenda kwa yaliyomo

Kimakhuwa-Moniga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimakhuwa-Moniga ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamakua. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimakhuwa-Moniga imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakhuwa-Moniga iko katika kundi la P30.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimakhuwa-Moniga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.