Nenda kwa yaliyomo

Kimakhuwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimakhuwa ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamakua. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimakhuwa imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakhuwa iko katika kundi la P30.

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimakhuwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.