Kimakhuwa-Marrevone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimakhuwa-Marrevone ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wamakua. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimakhuwa-Marrevone imehesabiwa kuwa watu 463,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimakhuwa-Marrevone iko katika kundi la P30.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimakhuwa-Marrevone kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.