Wakonongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wakonongo ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi. Mwaka 1987 walikadiriwa kuwa 51,000 [1].

Lugha yao ni Kikonongo.

Miaka ya 1880, pamoja na Wagongwe, waliwashambulia Wapimbwe baada ya kifo cha Mtemi Kasogera wa Wapimbwe.[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. [1]
  2. Historia na Utamaduni wa Wapimbwe - Peter Mgawe
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakonongo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.