Wamagoma
Jump to navigation
Jump to search
Wamagoma ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Njombe, Wilaya ya Makete.
Kabila hili lina koo chache sana, kwa mfano koo zifuatazo zinapatikana katika kabila hili: Fungo, Mbilinyi, Tweve na Mbogela.
![]() |
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wamagoma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |