Kimagoma
Mandhari
Kimagoma ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamagoma. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimagoma imehesabiwa kuwa watu 9000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimagoma iko katika kundi la G60. Inafanana hasa na Kikinga.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimagoma kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimagoma Archived 6 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimagoma katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gmx
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimagoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |