Kikinga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikinga ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakinga. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikinga imehesabiwa kuwa watu 140,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikinga iko katika kundi la G60.

Mfumo wa Sauti (Fonolojia)[hariri | hariri chanzo]

Lugha ya Kikinga ina irabu 7 na konsonanti 23. Pia, tofauti kati ya irabu fupi na irabu ndefu huleta tofauti za maana.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Schadeberg, Thilo C. 1971. Zur Lautstruktur des Kinga (Tanzania). Tasnifu. Chuo Kikuu cha Marburg. Kurasa 189.
  • Wolff, L. R. 1905. Grammatik der Kinga-Sprache (Deutsch-Ostafrika, Nyassagebiet). (Archiv für das Studium der deutschen Kolonialsprachen, Bd 3.) Berlin: Verlag von Dietrich Reimer. Kurasa viii, 243.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikinga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.