Wandendeule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wandendeule ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Ruvuma, hasa maeneo ya wilaya ya Namtumbo.

Lugha yao ni Kindendeule.

Utamaduni[hariri | hariri chanzo]

Mila zao ni nyingi. Wasichana wakishabalehe wanapelekwa porini kuchezwa unyago, na hurudishwa nyumbani kwa shangwe na vigelegele.

Zao lao kuu la biashara ni tumbaku.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wandendeule kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.