Nenda kwa yaliyomo

Pori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hili ni pori la kitropiki (msitu).

Pori ni sehemu yenye miti mifupi au mirefu, nyasi n.k. Jambo kubwa ni kwamba hakuna watu wengi sehemu hiyo.

Pori hubeba vitu mbalimbali kama wadudu, wanyama, miti, nyasi n.k. Kila kitu kina faida na hasara zake ambazo ni:

Faida za pori ni kwamba hutusaidia katika kuni, mbao, nyasi za kuezekea nyumba n.k.

Hasara za pori ni kama kuhifadhi wanyama wakali kama simba ambao wanaweza kuja kwenye maeneo ya nyumbani na kusababisha kifo kwa binadamu.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.