Waikoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waikoma ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mara.

Lugha yao ni Kiikoma.

Familia za Waikoma zimegawanyika katika milango minane (Bhehita 8).

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waikoma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.