Wazyoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wazyoba ni kabila la watu kutoka eneo la Ziwa Tanganyika, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania.

Lugha ya Wazyoba inaitwa Kijoba [1].

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wazyoba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.