Wavinza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wavinza ni kabila la watu kutoka kaskazini-magharibi mwa nchi ya Tanzania.

Mwaka 1987 idadi ya Wavinza ilikadiriwa kuwa 10,000 [1].

Lugha yao ni Kivinza.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wavinza kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.