Watumbuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Watumbuka nchini Malawi

Watumbuka ni Kabila la Watu kutoka eneo la mpaka baina ya Malawi, Tanzania, na Zambia.

Mwaka 2000 idadi ya Watumbuka ilikadiriwa kuwa 2,546,000: 940,000 katika Malawi na 392,000 nchini Zambia, lakini idadi ya Watumbuka wanaoishi Tanzania haijulikani [1].

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watumbuka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.