Wanyamwezi
Jump to navigation
Jump to search
Wanyamwezi ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mikoa ya Tabora na Shinyanga.
Lugha yao ni Kinyamwezi.
Vyakula vikuu vya kabila hili ni ugali, michembe (matobolwa), pamoja na viazi vitamu.
Pia Mnyamwezi ni mtu yeyote yule mjanjamjanja miongoni mwa vijana, kama vile kijana anayejua kuvaa vizuri, asiyependa kufuatilia mambo ya watu wengine na anayeweza kuwafahamisha wenzie na kuwafanya waelewe juu ya jambo fulani bila ya ukakasi.
![]() |
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wanyamwezi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |