Wamakwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wamakwe (pia huitwa Wamaraba) ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara. Kwa wingi zaidi wako Msumbiji. Lugha yao ni Kimakwe.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamakwe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.