Wafipa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafipa ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Rukwa, hasa katika wilaya za Sumbawanga na Nkansi. Lugha yao ni Kifipa.

Hapo awali, miaka ya 1880, waliongozwa na Mtemi Kapufi wa Nkansi. [1][1] Archived 13 Januari 2024 at the Wayback Machine.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Historia na Utamaduni wa Wapimbwe - Peter Mgawe
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wafipa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.