Wajiji
Mandhari
Wajiji ni kabila wabantu na lugha lenye makao yake katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania. Kabila hili ni sehemu ya Waha kwa kuwa lugha zao zinaendana. Kitamaduni walitokea katika falme tofauti, Wajiji sawa na mji wa Ujiji na kuunda sehemu ya Uha eneo la Waha pamoja na falme nyingine: Waheru, Wabushingo, Waruguru, Wauhambwe na Wabuyungu, zote zikiwa katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania. [1]
Watu wengi wa kabila la Wajiji ni Waislamu huku wachache wakiwa Wakristo. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Scherer, J. H. (1959). "The Ha of Tanganyika". Anthropos. 54 (5/6): 841–904. JSTOR 40453639.
- ↑ Trimingham, J. Spencer (1964). Islam in east Africa. Internet Archive. Oxford, Clarendon Press. uk. 45.
| Makala hii kuhusu makabila ya Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wajiji kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |