Ungo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ungo ni chombo cha kupepetea vitu hasa nafaka kilichotengenezwa kwa chane za miwale au mimea mingine ya jamii hiyo.

Ni pia jina la gamba la juu la kaa.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ungo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.