Kiha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiha ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waha.

Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiha imehesabiwa kuwa watu 990,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiha kiko katika kundi la D60. Kiha kinafanana na Kinyarwanda na Kirundi. Ni lugha inayo kua kwa kasi zaidi ya lugha za kibantu zipatikanazo ndani Tanzania. Kwa sasa inatumika kama Lugha ya kiungo kwenye muziki wa Bongo Flava.

Viungo vya nje

Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Harjula, Lotta. 1999. Kiha phonology. Tasnifu ya Shahada ya Pili. Institute for Asian and African Studies, University of Helsinki.
  • Mwegerano, Anderson M. J.; Kipfumu, Nestory D.; Chubwa, Pamphili. 1997. Tugaanire mugiha/Tuzumgumwe katika Kiha. Salo (Finland): Salon Painokeskus Reiote. Kurasa 88.
  • Nakagawa, Hirosi. 1992. A classified vocabulary of the Ha language. (Bantu vocabulary series, no 9.) Tokyo: Institute for the Study of Languages and Cultures of Asia and Africa (ILCAA), Tokyo University of Foreign Studies.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.