Usafiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Treni ya Shinkansen nchini Japani
Feri kwenye bandari ya Dar es Salaam
Ndege ya Boeing 747-300

Usafiri ni uhamisho wa watu au vitu na bidhaa kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine.

Usafiri unakuja pamoja na muundombinu kama njia za usafiri, vyombo vya usafiri na wahusika wake kama makampuni, shirika na abiria.

Njia za Usafiri[hariri | hariri chanzo]

Njia za usafiri hutofautishwa kufuatana na aina yake kama ni

Vyombo vya usafiri[hariri | hariri chanzo]

Vyombo vya usafiri hulingana na njia zinazotumia.

Usafiri wa nchini hutumia motokaa, treni, baisikeli au pikipiki.

Usafiri wa majini hutumia meli, boti, jahazi na mengine

Usafiri wa hewani hutumia ndege, helikopta au ndegeputo