Kijiji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kijiji cha Waberberi huko Ourika, Atlas, Moroko.

Kijiji maana yake kwa Kiswahili ni mji mdogo. Kadiri ya mazingira, kinaweza kuwa na wakazi mia chache hadi elfu chache.

Kwa kawaida vinapatikana mbali na miji, mashambani au porini kabisa.

Siku hizi binadamu wanaoishi mijini ni wengi kuliko wale wanaoishi bado vjijini.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: