Wasizaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wasizaki ni kabila kutoka kaskazini-magharibi ya nchi ya Tanzania, karibu na Ziwa Viktoria. Mwaka 1987 idadi ya Wasizaki ilikadiriwa kuwa 82,000 [1]. Lugha yao ni Kisizaki.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasizaki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Wasizaki" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.