Wabondei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wabondei ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Tanga, karibu na Milima ya Usambara. Lugha yao ni Kibondei. Mwaka 1987 idadi ya Wabondei ilikadiriwa kuwa 80,000 [1]. Wabondei wanapatikana sana katika wilaya ya Muheza

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wabondei kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.