Ngoma

Neno ngoma lina maana mbalimbali:
- Ala ya muziki inayotumika sana barani Afrika.
- Muziki unaochezwa kwa kupiga ala hiyo.
- Muziki wa aina yoyote.
- Kucheza na muziki wa ngoma au wa aina yoyote.
- Katika lugha ya mitaani, ngoma inaweza kumaanisha virusi vya UKIMWI au Ukimwi wenyewe. Neno hili limetokana na methali ya Kiswahili isemayo, Ngoma ikivuma sana, mwishowe hupasuka.
- Ngoma (Ukerewe) ni kata ya wilaya ya Ukerewe kwenye mkoa wa Mwanza (Tanzania).
- Wilaya ya Ngoma iko mkoa wa Mashariki (Rwanda).
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Music Archived 19 Julai 2006 at the Wayback Machine.