Mkoa wa Mashariki (Rwanda)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mkoa wa Mashariki (kwa Kinyarwanda: Intara y'Iburasirazuba) ni kati ya mikoa mitano ya Rwanda tangu mwaka 2006, ambapo ulianzishwa kwa kuunganisha mikoa ya Umutara, Kibungo na sehemu ya Kigali Vijijini na Byumba. Kwa sasa linaundwa na wilaya 7:

Makao makuu yako Kigabiro, katika wilaya ya Rwamagana, lakini miji mikubwa zaidi ni:

Wakazi ni 2,141,000.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mashariki (Rwanda) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.