Wakisi
Wakisi ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Njombe, Wilaya ya Ludewa.
Jamii hii hujishughulisha na shughuli mbalimbali zikiwemo za uvuvi, ufinyanzi, kilimo cha muhogo.
Pia ni wachezaji wazuri wa ngoma ya Mganda, Kihoda na Ligambusi.
Kwa asili ni Wangoni kwa kuwa wana utamaduni mmoja na Wangoni, lakini walienenea maeneo hayo mbalimbali kutokana na misafara ya wangoni kutoka Afrika Kusini: wengine wakatawanyika na kujikuta wako huko.
![]() |
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wakisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |