Nenda kwa yaliyomo

Vita ya wenyewe kwa wenyewe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mapigano ya Franklin wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani

Vita vya wenyewe kwa wenyewe ni vita vinayopigwa ndani ya nchi kati ya vikundi vya taifa moja, tofauti na vita vya kimataifa.

Kuna aina nyingi jinsi vita ya wenyewe kwa wenyewe inaweza kutokea:

  • kati ya serikali na wapinzani wake wakiamua kutumia silaha
  • kati ya vikundi visivyo vya serikali
  • kama watu wa sehemu ya nchi wanataka kujitenga na taifa dhidi ya mapenzi ya serikali.

Vita za aina hiyo huwa na ukali, vifo na uharibifu mwingi. Mara nyingi kanuni za vita haziangaliwi na raia wa kawaida huteseka.

Mifano ya nchi zenye vita za wenyewe kwa wenyewe ni: