Nenda kwa yaliyomo

Wakwavi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wakwavi ni kundi la wafugaji nchini Tanzania, waliohesabiwa kuwa 7,378 katika sensa ya mwaka 1957.

Uhusiano wao na Wagogo na Wamasai unajadiliwa.

Lugha yao inaitwa Kikwavi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Krapf, Johann Ludwig, (1854), Vocabulary of the Engutuk Eloikop, or the vocabulary of the Wakuafi Nation in the Interior of Equatorial Africa
  • Tübingen: Fues. Spencer, Paul, (2003), Time, Space, and the Unknown: Maasai configurations of power and providence, Routledge, London. (pp. 58–63).
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wakwavi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.