Wandengereko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wandengereko ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi kusini kwa Dar es Salaam katika Mkoa wa Pwani: Wilaya ya Rufiji, Wilaya ya Mkuranga na Wilaya ya Kibiti.

Lugha yao ni Kindengereko.

Wandengereko wapo karibu 700,000. Ni ndugu wa damu na Wamatumbi: tofauti yao ni kabila moja linaishi bondeni na lingine milimani; ndio Mmatumbi, maana ya Itumbi ni mlima ambao walikuwa wanaitwa na wenzao wa bondeni ambao ni Wandengereko.

Wandengereko wapo wa bondeni ambao wanaitwa Warufiji maana wamepitiwa na mto Rufiji na Wamagongo yaani waliopo juu.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wandengereko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.