Mbagala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Mbagala
Kata ya Mbagala is located in Tanzania
Kata ya Mbagala
Kata ya Mbagala

Mahali pa Mbagala katika Tanzania

Majiranukta: 6°52′8″S 39°15′40″E / 6.86889°S 39.26111°E / -6.86889; 39.26111
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Temeke
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 52,582
Tanzani

Mbagala ni jina la kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 15113[1].Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 52,582 waishio humo.[2]

Inasemekana kata hii ni chafu, ndiyo maana inaongoza kwa mlipuko wa magonjwa, na pia kuna miundombinu mibovu na msongamano wa nyumba, watu wengi kuwa na shule ndogo na hizo shule kukosa vifaa na walimu: hizo ndio shida kubwa zinazosumbua Mbagala.

Pia Mbagala hakuna shida za maji kama kata nyingine za jiji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania

Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibondemaji | Kiburugwa | Kijichi | Kilakala (Temeke) | Kilungule | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mtoni (Temeke) | Sandali | Tandika | Temeke (kata) | Toangoma | Yombo Vituka