Charambe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Charambe
Kata ya Charambe is located in Tanzania
Kata ya Charambe
Kata ya Charambe

Mahali pa Charambe katika Tanzania

Majiranukta: 6°52′8″S 39°15′40″E / 6.86889°S 39.26111°E / -6.86889; 39.26111
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Temeke
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 83,401

Charambe ni jina la kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 15117[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 83,401 waishio humo.[2]

Changamoto inayosumbua kata ya Charambe ni umeme na barabara pamoja na kukosekana kwa hospitali.

Tatizo lingine ni msongamano wa nyumba na shule za msingi na sekondari kukosa madarasa na madawati.

Kata ya Charambe ina shule za msingi 4 na shule ya sekondari 1.

Mwaka 2015 katika shule ya Nzasa kulitokea ajali ya mkorosho kungushwa na upepo. Katika ajali hiyo mtoto mmoja aliangukiwa lakini alipona. Maana halisi ya jina la shule Nzasa ni chanzo cha maji.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania

Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibondemaji | Kiburugwa | Kijichi | Kilakala (Temeke) | Kilungule | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mtoni (Temeke) | Sandali | Tandika | Temeke (kata) | Toangoma | Yombo Vituka