Dawati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Dawati la kuandikia.

Dawati ni vipande vya mbao vilivyounganishwa na meza mbili ikiwa moja ni ndefu na nyingine ni fupi.

Dawati hutumiwa shuleni, ofisini, nyumbani na kadhalika.

Dawati hutumika katika shughuli za kitaaluma kama vile kusomea, kuandikia na pia kuwekea vifaa kama vile kompyuta.