Kamusi Kuu ya Kiswahili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kamusi Kuu ya Kiswahili (KKK) ni kamusi ya lugha ya Kiswahili iliyotolewa na Baraza la Kiswahili la Taifa la Tanzania mwaka 2015 baada ya maandalizi ya miaka minne.

Toleo hilo limechapishwa na kusambazwa na Longhorn. Mwaka 2017 ilipatikana pia kama app ya android kwa ajili ya mitambo ya smartphone.

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kamusi Kuu ya Kiswahili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.