Simujanja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Simujanja zenye mfumo wa uendeshaji wa Android
Simujanja za Samsung
Simujanja imetumika kusoma Wikipedia
Toleo la simu ya kiganjani la HTC Desire Z, ikiwa na kioo kikubwa cha kugusa ikionesha baobonye ya QWERTY.

Simujanja ni aina ya simu ya mkononi ambayo inafanya mambo mengi kuliko simu nyengine.[1] Zinafanya kazi kama kompyuta lakini hii ni chombo kinachobebeka na kidogo cha kutosha katika mkono wa mtumiaji.

Matumizi yake ni pamoja na:


Kwa sababu simujanja ni kama kompyuta ndogo, zinaweza kuendeshwa kwa kutumia mifumo ya uendeshaji kama vile Apple iOS a Android - itategemea na mahitaji ya chombo chenyewe. Lakini vilevile wengine wanatumia Windows Phone au BlackBerry OS.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]