Saa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Saa ya Mshale
Kwa chombo cha kupimia wakati tazama saa (ala)

Saa ni kipimo cha wakati. Si kipimo cha SI kamili kama ilivyo sekundi lakini ni kawaida kote duniani pia katika matumizi ya kisayansi.

Saa inagawiwa kwa dakika 60 na sekundi 3,600. Siku ina takriban masaa 24.

Asili ya hesabu ni katika utamaduni wa Sumeri na Misri ya Kale uliogawa mchana na pia usiku kwa vipindi 12.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.