Nne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mabadiliko katika kuandika nne.

Nne (pia: aruba kutoka Kiarabu) ni namba ambayo inafuata tatu na kutangulia tano. Kwa kawaida inaandikwa 4 lakini IV kwa namba za Kiroma na ٤ kwa zile za Kiarabu.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nne kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.