Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Temeke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Temeke (kijani cheusi) katika mkoa wa Dar es Salaam.

Wilaya ya Temeke ni wilaya mojawapo kati ya 5 za Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania yenye postikodi namba 15000.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 1,368,881 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 1,346,674 [2].

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2010-10-30.
  2. https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania

Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibondemaji | Kiburugwa | Kijichi | Kilakala | Kilungule | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mtoni | Sandali | Tandika | Temeke | Toangoma | Yombo Vituka