Mikoa ya Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Att.: This was changed in 2012.

Ramani ya mikoa ya Tanzania mwaka 2012
Tanzania
Coat of arms of Tanzania.svg

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
TanzaniaZanzibar
Flag of Zanzibar.svg

Nchi zingine · Atlasi

Tanzania imegawanyika katika mikoa 30 (miji mikuu imewekwa kwenye mabano):

Mikoa hiyo yote imegawanyika tena kwenye wilaya 169.

Wilaya zimeganyika katika kata kibao.

Jedwali la Mikoa, miji mikuu, eneo na idadi ya wakazi[1][hariri | hariri chanzo]

Mkoa Makao makuu Wilaya Eneo(km2) Idadi ya Wakazi Kodi ya posta Kanda
Arusha Arusha 7 34,516 1,694,310 23xxx Kaskazini
Dar es Salaam Dar es Salaam 3 1,393 4,364,541 11xxx Pwani
Dodoma Dodoma 7 41,311 2,083,588 41xxx Kati
Geita Geita 5 20,054 1,739,530 30xxx Ziwani
Iringa Iringa 5 35,503 941,238 51xxx Nyanda za Juu za Kusini
Kagera Bukoba 8 39,627 2,458,023 35xxx Ziwani
Katavi Mpanda 3 45,843 564,604 50xxx Nyanda za Juu za Kusini
Kigoma Kigoma 8 45,066 2,127,930 47xxx Kati
Kilimanjaro Moshi 8 13,209 1,640,087 25xxx Kaskazini
Lindi Lindi 6 67,000 864,652 65xxx Pwani
Manyara Babati 6 47,913 1,425,131 27xxx Kaskazini
Mara Musoma 7 31,150 1,743,830 31xxx Ziwani
Mbeya Mbeya 10 62,420 2,707,410 53xxx Nyanda za Juu za Kusini
Morogoro Morogoro 7 70,799 2,218,492 67xxx Pwani
Mtwara Mtwara 7 16,707 1,270,854 63xxx Pwani
Mwanza Mwanza 7 9,467 2,772,509 33xxx Ziwani
Njombe Njombe 6 21,347 702,097 59xxx Nyanda za Juu za Kusini
Pemba Kaskazini Wete 2 574 211,732 75xxx Zanzibar
Pemba Kusini Chake Chake 2 332 195,116 74xxx Zanzibar
Pwani Kibaha 7 32,407 1,098,668 61xxx Pwani
Rukwa Sumbawanga 4 22,792 1,004,539 55xxx Nyanda za Juu za Kusini
Ruvuma Songea 5 66,477 1,376,891 57xxx Nyanda za Juu za Kusini
Shinyanga Shinyanga 5 18,901 1,534,808 37xxx Ziwani
Simiyu Bariadi 5 25,212 1,584,157 39xxx Ziwani
Singida Singida 6 49,437 1,370,637 43xxx Kati
Tabora Tabora 7 76,151 2,291,623 45xxx Kati
Tanga Tanga 10 27,348 2,045,205 21xxx Kaskazini
Unguja Kaskazini Mkokotoni 2 470 187,455 73xxx Zanzibar
Unguja Mjini Magharibi Jiji la Zanzibar 2 230 593,678 71xxx Zanzibar
Unguja Kusini Koani 2 854 115,588 72xxx Zanzibar

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012
Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: 
Mikoa ya Tanzania
Bandera Tanzania
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi