Mkoa wa Pemba Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba)
Mahali pa Pemba Kusini katika Tanzania

Mkoa wa Pemba Kusini mi mojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 74000. Uko katika sehemu ya kusini ya Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Makao makuu ya mkoa yako Chake Chake.

Mkoa una wilaya mbili tu, Mkoani na Chake Chake

Mkoa una wakazi 271,350 kadiri ya sensa ya mwaka 2022 [1].. Katika sensa ya mwaka 2012 ulikuwa na wakazi wapatao 195,116.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Pemba Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.