Wilaya ya Mkoani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Mkoani (kijani) katika mkoa wa Pemba Kusini.

Wilaya ya Mkoani ni wilaya moja ya Mkoa wa Pemba Kusini. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 92,802 [1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mkoani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mkoani - Mkoa wa Pemba Kusini - Tanzania Flag of Zanzibar.svg

Chambani | Chokocho | Chumbageni (Pemba) | Kangani | Kengeja | Kisiwa Panza | Kiwani | Makombeni | Makoongwe | Mbuguani | Michenzani | Mizingani | Mkanyageni | Mtambile | Mtangani | Muambe | Ngombeni | Ngwachani | Shidi | Ukutini | Uweleni | Wambaa