Wilaya ya Chake Chake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Chake Chake (kijani) katika mkoa wa Pemba Kusini.

Wilaya ya Chake Chake ni wilaya mojawapo kati ya 2 za Mkoa wa Pemba Kusini Tanzania yenye postikodi namba 74200 .

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 136,298 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 97,249 [2]. Makao makuu yapo mjini Chake Chake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. Sensa ya mwaka 2012, Mkoa wa Pemba Kusini - Chake Chake. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-03-29. Iliwekwa mnamo 2018-03-23.
Kata za Wilaya ya Chake Chake - Mkoa wa Pemba Kusini - Tanzania

Chachani | Chanjaani | Chonga | Gombani | Kibokoni | Kichungwani | Kilindi | Kwale | Madungu | Matale | Mbuzini | Mchanga Mrima | Mfikiwa | Mgelema | Mkoroshoni | Mgogoni | Michungwani | Mjini Ole | Msingini | Mvumoni | Ndagoni | Ng'ambwa | Ole | Pujini | Shungi | Tibirinzi | Uwandani | Vitongoji | Wara | Wawi | Wesha | Ziwani


Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Chake Chake kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.