Nenda kwa yaliyomo

Mkoroshoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkoroshoni ni kata ya Wilaya ya Chake Chake katika Mkoa wa Pemba Kusini, Tanzania.

Jina hilo linatokana na uwepo wa idadi kubwa ya mikorosho.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 4,156 [1].

Kata za Wilaya ya Chake Chake - Mkoa wa Pemba Kusini - Tanzania

Chachani | Chanjaani | Chonga | Gombani | Kibokoni | Kichungwani | Kilindi | Kwale | Madungu | Matale | Mbuzini | Mchanga Mrima | Mfikiwa | Mgelema | Mkoroshoni | Mgogoni | Michungwani | Mjini Ole | Msingini | Mvumoni | Ndagoni | Ng'ambwa | Ole | Pujini | Shungi | Tibirinzi | Uwandani | Vitongoji | Wara | Wawi | Wesha | Ziwani


Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoroshoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.