Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Coordinates: 6°10′00″S 39°15′00″E / 6.1667°S 39.2500°E / -6.1667; 39.2500

Ramani ya Unguja
Mahali pa Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi katika Tanzania
Mji wa kale kutoka juu.

Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye Postikodi namba 71000. Mikoa mitatu kati yake iko katika kisiwa cha Unguja.

Mkoa huu una wilaya mbili ambazo ndizo mjini yaani Jiji la Zanzibar na Unguja Magharibi.

Mkoa una wakazi 893,169 kadiri ya sensa ya mwaka 2022 [1]. Walikuwa 593,678; Mjini wako 223,033 na Magharibi 370,645 (sensa ya mwaka 2012)[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.