Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Unguja Magharibi B

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Unguja Magharibi B ni mojawapo kati ya wilaya 3 za Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 344,517 [1].

Kata za Wilaya ya Unguja Magharibi B - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania

Bweleo | Chukwani | Chunga | Dimani | Fumba | Fuoni Kipungani | Fuoni Migombani | Jitimai | Kibondeni | Kiembesamaki | Kijitoupele | Kinuni | Kisauni | Kombeni | Kwa Mchina | Magogoni | Mambosasa | Maungani | Mbweni | Melinne | Michungwani | Mikarafuuni | Mnarani | Mombasa | Muembe Majogoo | Mwanakwerekwe | Nyamanzi | Pangawe | Shakani | Sokoni | Taveta | Tomondo | Uwandani | Uzi

Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Unguja Magharibi B kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.