Nenda kwa yaliyomo

Bweleo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kata ya Bweleo
Nchi Tanzania
Mkoa Mjini Magharibi Unguja
Wilaya Unguja Magharibi B
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,893

Bweleo ni kata ya Wilaya ya Unguja Magharibi B katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Tanzania.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 1,893 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 842 waishio humo. [2]

Asili ya jina Bweleo ni neno "Jibwe leo" likimaanisha Jiwe leo. Hii ilitokea baada ya watu wengi kuibeza ardhi ya kijiji hicho kwa kuwa ni ya mawe haswaa. Haikuwa na thamani kwa wakati huo na ndiyo sababu mhenga mmoja akasema, "Jibwe leo tu" akimaanisha ipo siku hamtasema tena ardhi ya jiwe ya Bweleo ila mtaitafuta.

  1. https://www.nbs.go.tz, uk. 248
  2. "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-28.
Kata za Wilaya ya Unguja Magharibi B - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania

Bweleo | Chukwani | Chunga | Dimani | Fumba | Fuoni Kipungani | Fuoni Migombani | Jitimai | Kibondeni | Kiembesamaki | Kijitoupele | Kinuni | Kisauni | Kombeni | Kwa Mchina | Magogoni | Mambosasa | Maungani | Mbweni | Melinne | Michungwani | Mikarafuuni | Mnarani | Mombasa | Muembe Majogoo | Mwanakwerekwe | Nyamanzi | Pangawe | Shakani | Sokoni | Taveta | Tomondo | Uwandani | Uzi


Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bweleo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.