Magogoni
Jump to navigation
Jump to search
Kata ya Magogoni | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mjini Magharibi Unguja |
Wilaya | Magharibi Unguja |
Idadi ya wakazi | |
- | 13,170 |
Magogoni ni kata ya Wilaya ya Magharibi Unguja katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Tanzania.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 13.170 waishio humo. [1]
Wakazi wengi ni wa kutoka Tanzania bara, na wengi wao ni kutoka mkoa wa Mtwara.
- ↑ http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Archived Januari 2, 2004 at the Wayback Machine. Wilaya ya Magharibi Unguja - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
![]() |
Kata za Wilaya ya Magharibi Unguja - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bububu | Bumbwisudi | Bweleo | Chuini | Chukwani | Dimani | Dole | Fumba | Fuoni Kibondeni | Fuoni Kijitoupele | Kama | Kianga | Kiembe Samaki | Kizimbani | Kombeni | Magogoni | Maungani | Mbuzini | Mfenesini | Mto Pepo | Mtoni | Mtoni Kidatu | Mwakaje | Mwanakwerekwe | Mwanyanya | Mwera | Shakani | Tomondo | Welezo |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Magogoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |