Wilaya ya Unguja Mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa kisiwa cha unguja

Wilaya ya Unguja Mjini ni wilaya moja ya Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 206,292 [1].

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Unguja Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.